Kaja mteja anasema nimchekie charger🔌 ya simu mana anasema yake haipeleki nikatest charger hamna shughuli kuja kucheki system charger ya simu yake inacheza cheza kama imewekewa singeli bakora nikamwambia Madam hii umeharibu system charger sio kwamba charger ni mbovu
Akaanza kusema yani siku hizi wanatuuzia masimu mabovu sana simu hata mwezi haijamaliza imeharibika nikamwambia hii umeharibu ww mwenyewe asee system charger Type C sio rahisi kuharibika
Aksema hamna masimu mabovu hayo nikamwambia asa hii si inaonyesha kabisa imevunjika hapa kwahyo imejivunja yenyewe akashikilia kauli yake ya kuwa simu za siku hizi ni mbovu
Ikabidi nimuache aende akapambane na aliemuuzia simu🙅🏿
Kuna kale ka moment unatembea na demu wako jioni barabarani then unasimama kando ya barabara kukojoa na yeye anakusubilia hapo hapo
Oyaaaah 😂 😂 unajiona uko mbingu nyingine kabisa 🙌
Kaja mteja anasema nimchekie charger🔌 ya simu mana anasema yake haipeleki nikatest charger hamna shughuli kuja kucheki system charger ya simu yake inacheza cheza kama imewekewa singeli bakora nikamwambia Madam hii umeharibu system charger sio kwamba charger ni mbovu
Akaanza kusema yani siku hizi wanatuuzia masimu mabovu sana simu hata mwezi haijamaliza imeharibika nikamwambia hii umeharibu ww mwenyewe asee system charger Type C sio rahisi kuharibika
Aksema hamna masimu mabovu hayo nikamwambia asa hii si inaonyesha kabisa imevunjika hapa kwahyo imejivunja yenyewe akashikilia kauli yake ya kuwa simu za siku hizi ni mbovu
Ikabidi nimuache aende akapambane na aliemuuzia simu🙅🏿
Kila mwanaume anapenda mwanamke mrembo na mwenye akili(kiukweli ni wachache).
sasa tufanye wamebaki hawa unachukua yupi..👇🏾
• Mrembo hana akili
• Ana akili sio mrembo
• Hana akili sio mrembo ila ana tackle