Kumbuka kile kipindi kigumu cha mwaka 2020 Bukayo Saka alipowaambia mashabiki wa Arsenal 'Mnastahili makubwa zaidi'? Sasa hivi ametimiza ahadi yake na kuleta kombe! Kile alichokiahidi ndicho alichokifanya. 🏆❤️🤍"
Like nyingi kwa arsenal ❤️
🚨Mataifa yafuatayo yatakuwa na wawakilishi wanne katika mashindano ya vilabu ya CAF msimu ujao: vilabu viwili katika Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) na viwili katika Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup). 🌍🏆
🇪🇬 Misri🇲🇦 Morocco🇩🇿 Algeria🇹🇳 Tunisia🇦🇴 Angola🇨🇮 Côte d’Ivoire🇲🇱 Mali🇳🇬 Nigeria🇨🇩 DR Congo🇿🇦 Afrika Kusini🇸🇩 Sudan🇹🇿 Tanzania