@DanfordTun96400 Hawaoishi kwa kodi zetu wana dharau sana anajifanya hajui enzi hizo hiyo miaka hata kama cement iliuzwa 500 ila value ya hiyo pesa watu hawakuiweza sio kila anaelalamika maisha mgumu ni mzembe angeacha huo URC akafanye biashara au ajiajiri
@thomasjkibwana Unajua sisi back in 80's hawa kina Sangapore tulikua hatujapishana sana lakini as time goes imekua mbingu na ardhi sasa kama hatuta address vitu vilivyotufanya turudi backward hakika tutaendelea kuinekana makubwa jinga kuwasindikiza watu kwenye utajiri kwenye ushirikiano
@chapanombombwi@HecheJohn Hivi hizi ndio agenda zao? Mana wao wanahubiri CDM mikutano hawana agenda sasa wao agenda zao nikuwaambia wananchi juu ya CDM ambao hawajawahi kuongoza dola?
Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani @exmayor_bonifacejacob akihutubia mkutano wa hadhara mjini Kyela, Mbeya leo. ✌🏾🔥🙏🏾
NB: Mwambieni Mwenezi ‘GANJA MBICHI’ wa CCM huyu ni BONI YAI peke yake.
Pia sisi tukipanga viti kama wao hakuna eneo litatosha kwa mikutano yetu
NB mtamalizia wenyewe!
@EduTalkTz@Thommunkondya hapa ndio tu ahitaji uje na unachoona benefit kwa nchi sio kulalamika kua watu wanapotosha data hizo hapo chakata njoo na takwimu zako na wewe