@HELBpage 7046,.. 7046 Walaiiii mkona jokes ๐๐ yani 7046 paid to account since last week date 26 ,.. ata kama ni 72 hours ,.. mkatutuliza na message ya 42 hours tena ndoiyo ,.. siwaoni vizuri. Mnapanga hesabu ya minus kwa uhai wangu
@HELBpage Wakuuu mimi ata sina shida na nyinyi ju najuwa 7046 ishaa lipwa . Najuwa tu shida ni HEHA ๐ pesa iko delivered (paid to account) shida sioni mahali iko