UZINDUZI WA SIKU YA MADAWA YA KULEVYA
Wanafunzi wamefanikiwa kujifunza juu ya madawa ya kulevya na madhara yake,
Pia tukajifunza aina mbalimbali za madawa ya kulevya; Kama vile vile Bangi, Heroin, Mirungi na cocaine.
FORM SIX LEAVING LEAGUE FROM 23RD MARCH "let's play and study"
Designed by @c.h.i.w.a & @_rickieboy
#bwmhs#bwmhs2022#educationisliving @ Benjamin Mkapa High School https://t.co/ZDqzfd7z3n
Best student from Benjamin W Mkapa High School who scored division 1.7 form four National Results (2021). The last person to score such kind of division was Salim in (2007). Congratulations 👏 to her.
Jumuiya ya Benjamin William Mkapa High School kusheherekea siku ya kuzaliwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿, Alhamisi Januari 27, 2022, muda kuanzia saa 4:00 Asubuhi.
Taarifa zaidi usikose kufuatilia mitandao yetu ya kijamii Twitter, YouTube, Facebook na Instagram.