Kazimoto leo ni miongoni mwa Wachezaji aliongoza kupiga pasi ambazo ni Back passes na still Kuna watu wakiwemo wachambuzi wakubwa wanaamini Yanga imepata Fullback Mzuri
@hecenmo Yeah Msimu uliopita mechi nyingi za mkoani mfano ya TRA, mbeya city Yanga ilistruggle kutengeneza chances Kwasababu ya kuwa na hao Kina Mwenda pia
Hata kushindwa kufuzu robo mbele ya Mc Alger msimu juzi ilikuwa ni Kwasababu ya hao.
@hecenmo@ThomzJoseph Umeona hizi takwimu. Zamalek n timu ya 4 kuwa na XG conceded kubwa kwenye ligi yao yani ni timu ya 4 yenye asilimia kubwa ya kuruhusu magoli
@hecenmo Sasa huo uchezaji ndo unafanya Yanga ikicheza na timu zinazojilinda ishindwe kutengeneza chances. Na kwenye Ile Mechi ya TRA crosses zake zote zilienda nje
@hecenmo@ThomzJoseph Jana ukipitia posts zangu utaona niliandika club Africain nawaona wakija kuwa ndo wapinzani wagumu zaidi kwa Yanga means nilishafuatilia timu zote
Hao zamalek walicheza na APR. Wakipanda kwenye transition wanafungika tofauti na Club Africain
@hecenmo@ThomzJoseph Hao zamalek mm naona ndo wapinzani wepesi kwa Yanga na hzi n takwimu za Mechi Yao ya jana unaweza kuona.
Club African wanajilinda vzr sana alfu ni hatari kwenye transition. Yanga Hamna wingers/Fullbacks wa kuwahangaisha
Nimeangalia opponents wote wa Yanga. Binafsi naona wale Club African ndo watawapa Matches Ngumu zaidi Yanga Kwasababu Wanacheza kwa kujilinda sana(Ni Ngumu kuwafungua/Kuwafunga kwa crosses)
Alfu Yanga wachezaji wengi ndo wanapenda kupiga crosses(Hamna dribblers)
@X_gee9@mee_nicodemus Najua ila jana hakuwa kwenye form kama ulivyosema. Alfu umesahau tu, vini kwenye games za el classico ndo anakuwaga best player wa madrid
Simba na Yanga zina shida sana. Simba walkuwa na kina kibu, Mutale ambao hawajui Kufunga lkn walkuwa wanataka wafungage magoli sawa na Yanga Yenye Pacome, Aziz Ki, Max
Saivi Yanga haina Aucho mpya, wana Zakouani na Kangwanda ila wanaona yanga ina haki ya Kucheza kama Simba 🤣🤣
Watu wengi wanaamini Miloud ndo Kocha sahihi/Alikuwa sahihi kwa Yanga ila ninachoamini akirudishwa yule Yanga itakuwa inaruhusu sana magoli na Simba watarudisha zile 5
@mee_nicodemus@BracuszCadabra Huyo Miloud Mimi nilishatweet sana Kumhusu.
Timu inapozidiwa na Kushambuliwa sana hata Kama Anaongoza si Mzuri kwenye kufanya game management kama Fadlu.
Mf Mzuri Mechi Ya Azam, badala aingize Hata Nyeto alinde Ushindi kamuingiza Ikangalombo Timu inapelekewa moto Tu
Inawezekana sikuelezea vzr ila Moja ya factor inayoiangushaga Yanga toka Msimu uliopita dhidi ya Timu zinazodefend vzr ni ina fullbacks wengi Old fashion.
Boka, Tshaba, mwenda, Kibwana, Kazimoto wote Hawa Hata kama wapinzani wamekuwa wengi kwenye box lao hawawezi kucut in kuliso