Kwenye Maisha yangu nilikuwa natamani kuona mtu ninayemjua kwa muda mrefu kwenye Umaskini anafanikiwa na kuwa Tajiri... Bado.
Naweza kuwa Mimi?
Challenge Accepted. 10yrs.
@iamcleopatricia Nadhani ni zamu yako imefika kujazia pale ancestors wako walipoishia, kwamba:
"Mambo mabaya huwapata watu wema"
Una dhambi:
1. Kuzini
2. Kumsaliti mume wako
3. Ipo njiani (kuua au kudanganya)
Fanya chap ili utubu zote kwa pamoja.
Amen.