Ugly Broke Nigga fighting Goon allegations ndio naingia site, nimechelewa na leo ni siku ya koroga. Foreman amesema hio anakata kidogo, just changed to my outfit, naona text ya new number akiitisha pesa ya nails nablock mbio nikidhani ni Njeri kumbe ni carpenter, swali ni moja
Hip Hop nafurahi kuwa wako,
Hata usiponipa mtoto nitafurahi kuwa anko,
Zote banger bila swaga kwenye black flow,
Pande zote nitakwenda ukikubali kuwa hapo,
Sina mkali kwako,
Labda niwe mkali wako,
Na habari ni kwamba hii mistari ni kwaajili yako.
@onetheincredibl ~ Young Gifted & Black. 🔥🔥