@bonifacejoseph_@ezzy_wix Fridge za zamani mzee zilikuwa ni kisangaa huwezi kuacha ziwake 24hrs ila za saivi zina technolojia ya kisasa fridge ikifika maximum cold inajizima yenyewe na kujiwasha yenyewe pale tu baridi linalotakiwa ndani ya fridge likipungua
Saivi ukipita barabara ya kimara to mbezi mwisho Utashangaa zile Road reserve zote ambazo mwendazake aliziacha. zote zimevamiwa kuna maujenzi yanayoendelea kwa kasi sana Viongozi walikuwepo sasa hawajui maana ya zile road reserve mpaka kuamua kuruhusu ujenzi ufanyike
Hii Ripoti ya Tume ni kama imeamsha vitu vilivyolala. Yale mavideo ya mauaji ya kutisha yameaza kusambazwa upya kuna kipindi live za wanaharakati zilipoa ila leo naona zimeanza upya ni balaa tupu
@anuskills3 Hamna kocha humu mzee yupo lig ya ujerumani, dominance anajulikana jana kaitoa Real madrid. Mbovu huyu katoka kuishusha daraja timu moja pale Uingereza
Kadi nyekundu aliyopigwa Camavinga leo imetoka kimakosa ni pale tu refee alivyompa kadi ya njano Camavinga na akasahau kwamba alimpa kadi ya njano hapo mwanzo alipokumbushwa ndo akatoa nyekundu sidhani kama referee angejua Camavinga ana kadi ya njano ...angetoa ile kadi