Top 50 Bold Romance Movies for M*ture Audience 🎬🔥🍿..
Not For Weak People🔞
1️⃣ Babygirl (2024)
2️⃣ Challengers (2024)
3️⃣ Fair Play (2023)
4️⃣ Saltburn (2023)
5️⃣ Sanctuary (2022)
6️⃣ Deep Water (2022)
7️⃣ Blonde (2022)
8️⃣ 365 Days: This Day (2022)
9️⃣ 365 Days: The Next 365 Days (2022)
1️⃣0️⃣ After Ever Happy (2022)
1️⃣1️⃣ Lady Chatterley’s Lover (2022)
1️⃣2️⃣ Below Her Mouth (2016)
1️⃣3️⃣ Fifty Shades Freed (2018)
1️⃣4️⃣ Fifty Shades Darker (2017)
1️⃣5️⃣ Fifty Shades of Grey (2015)
1️⃣6️⃣ Love (2015)
1️⃣7️⃣ The Dreamers (2003)
1️⃣8️⃣ Secretary (2002)
1️⃣9️⃣ Nymphomaniac Vol. I (2013)
2️⃣0️⃣ Nymphomaniac Vol. II (2013)
2️⃣1️⃣ Blue Is the Warmest Colour (2013)
2️⃣2️⃣ In the Realm of the Senses (1976)
2️⃣3️⃣ Last Tango in Paris (1972)
2️⃣4️⃣ Basic Instinct (1992)
2️⃣5️⃣ Unfaithful (2002)
2️⃣6️⃣ 9 Songs (2004)
2️⃣7️⃣ Eyes Wide Shut (1999)
2️⃣8️⃣ Crash (1996)
2️⃣9️⃣ The Handmaiden (2016)
3️⃣0️⃣ Call Me by Your Name (2017)
3️⃣1️⃣ Disobedience (2017)
3️⃣2️⃣ Lust, Caution (2007)
3️⃣3️⃣ The Reader (2008)
3️⃣4️⃣ Closer (2004)
3️⃣5️⃣ Match Point (2005)
3️⃣6️⃣ Damage (1992)
3️⃣7️⃣ Secretary (2002)
3️⃣8️⃣ Original Sin (2001)
3️⃣9️⃣ Body Heat (1981)
4️⃣0️⃣ Indecent Proposal (1993)
4️⃣1️⃣ The Lover (1992)
4️⃣2️⃣ Y Tu Mamá También (2001)
4️⃣3️⃣ Love & Other Drugs (2010)
4️⃣4️⃣ The Perfect Guy (2015)
4️⃣5️⃣ Addicted (2014)
4️⃣6️⃣ Fifty Shades Trilogy (2015–2018)
4️⃣7️⃣ 365 Days (2020)
4️⃣8️⃣ After (2019)
4️⃣9️⃣ Cru3l Intentions (1999)
5️⃣0️⃣ W¡ld Orchid (1989)
Bro to Bro
Chochote unachopoteza kama mwanaume, ilimradi si uhai wako, unaweza kukirudisha na hata kwa ukubwa zaidi.
Unaweza kuinuka tena kutoka kwenye chochote. Mshirikishe Mungu kwenye mipango yako, weka Juhudi na usikate tamaa.
Ulishawahi kufanya, Unaweza kufanya tena!
MAFWELE anasema nanukuu "Hao niliowakamata hawana maisha tena, mnajua kitakachoeapata" Baadae Muliro nae anaongea Mnajua we only Die Once not twice Hamtakufa mara mbili kufa mi mara moja tu kwa hiyo usipokua makini utakuoa nyuma tu paaa" 😢
Mahojiano ya Polepole na waandishi wa HABARI
Kuna TAKE AWAY kadhaa kutokana na mzungumzo hayo wiki iliyopitia
1. Samia kwa mara ya kwanza alipoitisha kamati kuu kama mwenyekiti awaingiza na wastaafu ambao hawana sifa ya kuwa sehemu ya mkutano, na moja ya mstaafu alikuwa na mapendekezo mengi kwenye mkutano ikiwa namna ya kumkabidhi Samia chama kwa njia za Mkato, Polepole alimpinga Pamoja na moja ya mtu ambaye aliwahi kuwa makamu wa Rais kwa kusema lazima mwenyekiti apatikane kwa kupiga kura
2. Hoja za mstaafu huyo zilikuwa kwamba kusifanyike mkutano mkuu, ila kura zipigwe sehemu mbalimbali kisha zisombwe kwenye masandarusi na kwenda kuhesabiwa makao makuu, kitu ambacho sio utaratibu wa kawaida na ingeondoa uhalali wa uenyekiti wa Samia, ni kama mstaafu alitaka mambo yafanyike chapu chapu kwa hoja ya COVID, alipoulizwa kwamba mbona mkutano mkuu umefanyika hivi karibu kupitisha mgombea urais na uchaguzi ulifanyika na mikutano mingi ya kampeni kwa nini hili ndio anapinga akakosa hoja, Msimamo wa CCM wakati huu ulikuwa hakuna kufanya lock down
3. Mstaafu huyo akaibuka na hoja nyingine pia kwamba hakuna pesa za kuitisha mkutano mkuu, Pia Polepole akampinga kwa kusema mbona pesa zipo na mstaafu huyo anajua michakato ya kupata fedha ya mkutano mkuu, lakini pesa zilikuwepo akaambiwa mbona pesa zipo , ndio akasema basi mkutano ufanyike akasema angepewa taarifa kama kuna pesa, …… sijui alitoa wapi suala la kwamba hakuna pesa.
4. Kupata mwenyekiti kwenye viroba likuwa suala ambalo lilipingwa sana liliwa wazo la mstaafu japo aliingia kwenye mkutano ambao yeye sio sehemu yake na alipofika humo ni kama yeye akaanza kuweka mambo mengi anavyoona badala ya kuuliza uongozi uliokuwepo kwa wakati huu kupata taarifa kabla ya kuanza kujaza mapendekezo kwa pupa
5. Hoja nyingine anayopiga Polepole ni kusema NAWASALIMIA KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, salamu hii inapingana na baadhi ya Imani, kwa sababu wanafanya hivyo kwenye suala linalohusu Muumbaji, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina uungu ilikuwa ni makosa kuibuka na hii salamu inatengeneza kuabudu au kupingana na Imani za watu
6. Samia kusema kwamba yeye ataongea kwa kalamu kwenye Taifa ambalo halina mfumo wowote unaoeleweka, Malengo ya Magufuli ilikuwa ni kuanza mchakato wa Katiba Mpya kwenye term yake ya Pili, na suala hilo linajulikana kwa viongozi wote, cha kushangaza ni namna MCHAKATO WA KUPATA katiba mpya ulivyokuja telekezwa na serikali ya Samia na kujiita awamu ya 6. Hili ni suala jingine lilimshangaza sana kwa nini sasa serikali inakwepa huu wajibu
7. Kubadilisha baadhi ya sera bila sababu za msingi, kuunganisha umeme kwa malipo y ash 27,000 suala ili lilikuwa linawezekana sana na ilikuwa ni suala la kuweka bajeti sawa tu, lakini ghafla Rais mwenyewe akaibuka na kusema hakuna uwezekano wa kuunganisha umeme kw ash 27,000, hata Waziri wake wa nishati wa wakati huo alikwepa kusema akamuacha kasema yeye mwenyewe. Mambo haya yasiyosaidia wananchi
8. Serikali ya Samia kutelekeza miradi yote muhimu, kulikuwa na ahadi ya meli kwenye maziwa makuu, kutengeneza grid ya TAIFA ya majini, kujenga barabara, kwa sasa hali ya barabara ni mbaya sana nchi nzima, kuna miradi imesimama na hakuna sababu zinatolewa kwa nini, kuna barabara zimejaa mashimo nchi nzima na inashangaza tumefika je hii hatua, kwa kifupi kuna matrillioni ya fedha yanakwenda kwenye hii miradi kuna mikopo ya trillion 4 lakini kwa nini hali ya barabara imekuwa mbaya sana
9. Kulikuwa na mpango wa kujenga viwanda vya madawa nchini kama moja ya ahadi nayo imetelekezwa watu wanaingiza tu madawa, viwanda vya madawa vimekuwa vya kuingiza madawa
10. Viwanda vya Mbolea kushindwa kujenga na vilivyopo kugeuka madalali wa kuingia mbolea kutoka nje ya nchi, haya mambo ya zana za kilimo yalianza toka wakati wa mwalimu Nyerere inakuwa sasa tunashindwa kuendeleza na mwalimu aliweza? Kwa nini leo viwanda hivi viwe vya kuagiza , Kuna malighafi zinapatikana hapa nchini kwa ajiri ya kutengeneza mbolea zinachukuliwa kwenda nje wakati zilikuwa bora kuzalisha mbolea hapa nchini. Wizara ya kilimo imejaa madudu matupu cha ajabu ni namna viongozi wa wizara hii wanavyovumiliwa na mamlaka za uteuzi lakini wamerudisha sana nyuma kilimo nchini, mamlaka zote chini ya wizara hii zinachangamoto kubwa sana na zimeshindwa kusaidia mwananchi . Samia amekuwa soft ( dhaifu) sana kwa wizara ya kilimo mambo yamekwenda vibaya sana kwenye hii wizara na watu wanakula vyakula vinamwagiliwa mbolea imejaa sumu tupu, wananchi wanakula sumu kutokana na uzembe kwenye hii wizara na Rais anawajibu moja kwa moja kwenye hii wizara
11. Kuna mawaziri legelege hakuna hatua zinazochukuliwa na mamlaka ya uteuzi mawaziri wamekuwa na kiburi , wakiandikiwa barua hawajibu kila mtu anafanya mambo yake anayotaka na mambo mengi yamekwama sababu mawaziri wamekuwa na kiburi sana. Kuna shughuli nyingi zimesimama kutokana na aina ya mawaziri tulionao
12. Kuna magenge ya Urais Serikali kwa kiwango kikubwa sana, huu utaratibu ni mbaya kwamba kila mwenye pesa anaweza kuanzisha magenge kuwa kiongozi ?! kama watu wangekuwa na malengo ya kusaidia nchi tusingeona idadi kubwa ya watu kuibuka kwenye ubunge na urais kuviziwa, maana kwenye chama kuna mtu mtajua tu huyu anaweza kuliko mimi kama malengo ni kujenga nchi wenye uwezo tu ndio wataonekana, lakini kuna uholela mkubwa sana kwa sasa kila mtu anayejiona anaweza nunua watu anatengeneza magenge
13. Wizara ya viwanda na biashara inakimbizana na wachina mtaani, swali la kujiuliza wametoka wapi na wameingia vipi hapa nchini kama serikali inafanyakazi yake vizuri? Huu wote ni uzembe . Kama watu wakiweka mbele masilahi ya nchi masuala kama haya hatutayaona yakitokea
14. Tumeahidi mambo mengi lakini utekeleza ni duni sana kitu ambacho sio sawa hata kidogo, ni mambo mengi tuliyoweka kwenye ilani yametelekezwa kwa namna haieleweki ukiuliza hakuna majibu , ukishauri hakuna anayesikiliza
15. Kuondoa watumishi muhimu kwenye nafasi zao kwa kasi isiyoeleweka, Rais mmoja ana makatibu wakuu 5 kwenye chama, waenezi 5 na viongozi wengine kibao anabadilisha tu, ukienda serikali ana wakurugenzi wa usalama TAIFA 4, wote hawa wanamatatizo? Ukiondoa mmoja tunaweza sema sawa ana matatizo lakini kwa idadi ameondoka ni wazi kabisa shida iko kwa kiongozi mkuu anayewateua, wote hawa wanaweza kuwa na matatizo ?
16. Baada ya kuondoa viongozi kwa kasi kwenye chama na kwenye vyombo muhimu sasa tunaona Makamu eti amesema amejihudhuru anayetangaza haya ni Raisa wa nchi hii inawezekana vipi ni makosa makubwa sana yeye hakuwa wa kutangaza suala hilo, Baadaye naona Majaliwa naye amejitoa, hapo ndipo unaona kuna shida, ukishakuwa waziri mkuu uwezi gombea ubunge kama hauna uhakika wa kuteuliwa tena, maana pale bungeni utakuwa mpweke ukiwa kama mbunge wa kawaida . Kama Makamu na Waziri Mkuu wamechagua kutoendelea RAIS anapendelewa yeye tu kwa nini? Kwa nini Rais tu aonekana anafaa na hao wengine wameamua kufuata mfumo wa chama wa kumwaga OIL kila baada ya miaka 10. Haya makosa alifanya Kikwete , ule mkutano ulikuwa ni wa kuchagua makamu wa Mwenyekiti tu sio kuanza kuingiza mambo ya Rais pale, ndani ya CCM lazima uchukue form na kuomba nafasi kugombea, na wengine wana haki ya kufanya hivyo pia, hata kama umefanya miaka 5 tu form inachukuliwa na wengine wana haki ya kuchukua . Hata wakati wa Kikwete alichukua form japo walioitembeza kutafuta wadhamini ni wanafamilia lakini bado alichukua form
17. Wafamilia kurundikana kwenye vyeo, haya ni mambo ya ajabu kabisa, ndani ya CCM ulafi ni mwiko, inawezekana vipi ndani ya CCM kukawa na familia za viongozi tu, unaona waziri na mkewe, unaona mke wa Rais mstaafu, unashangaa wanafamilia wa Rais Muungano na Zanzibar, hii inajenga picha gani kwa wananchi ?
18. Toka 2021 uongozi wa Samia ulianza kupwaya sana, na ndio unaona huyu mama mbona anahujumiwa ? anajua anahujumiwa au inakuwaje? Mbona afanyimaamuzi na anahujumiwa na namna hii na wana mtandao ?
19. Samia akigombea tena kwa sasa CCM itapoteza, hakuna mvuto kama mgombea atakuwa Samia sababu tutawaambia nini Wananchi? Kuna masuala gani mapya anataka kufanya ambayo alikuwa ajafanya? Tusijidanganye hata sasa CCM imepoteza sana Mvuto, itakuwa ni suala gumu kuwashawishi wananchi, kuna wakati tunajidanganya kwamba chama kinapendwa wakati ukweli ni tofauti, lazima tufanye mabadiliko
20. Hili kuwezi kurudisha mvuto wa CCM lazima Samia akae pembeni kwa sababu hana jipya tena ni wakati wa chama kujisafisha na huu utaratibu unajulikana mpaka ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama , wazee wote ndani ya CCM wanajua huu utaratibu , Kwa sasa CCM inahitaji mtu ambaye anatambua kwamba kama nchi tumechelewa na aingie kufanyakazi, Kasi ya sasa ya kufanya kazi ni mbaya ni ya kinyonga. Tutaangamiza taifa kama tutachagua kwenda na kazi hii, tuko nyuma sana kimaendelea na kasi tuliyonayo inaleta wasiwasi mkubwa sana
21. Wasira ameshapewa maoni na watu wengi sana kuhusu hali ya sasa ili maoni yamfikie Samia lakini amekata akufikisha hayo maoni, watu wanaomhujumu Samia wanamzunguka hapo hapo wako karibu naye kabisa, wanadhibiti maoni na mawasiliano
22. Serikalini kuna watu wabaya sana unapotoa maoni namna hii wao wanafikiria namna ya kukushughulikia, nimepigana vikumbo na watu wengi sana ni hatari huko ndani miaka 3 yote imekuwa miaka ya kupambana na watu wasiotaki mema hii nchi. Hawa watu hawana nia yoyote ya mabadiliko, Bila kupambana kulinda nchi hakuna mabadiliko yatatokea
Wakati SAMIA yuko busy kwenye mikatikati ya kuumiza LISSU nyumba inachomeka
Kuna mtu yupo mahali anafanya kazi kwa nguvu na maumivu ili apate shilingi 5,000 kama malipo yake ya kutwa, Halafu kuna mpumbavu mmoja sehemu yeye anaomba tu 5,000 with a very simple way just "Naomba 5,000".
Na wala hajishtukii! Useless kabisa 😵💫