@BracuszCadabra Kama biashara kwann singida wanasema wamewapa bule? Nafikir singida wanajibu mapigo ya msemaji, msemaji anatakiwa asiongee kama ss huku mtaan hata kama kunaukwe kwasabab hao singida nao ukute hawapendezw na maneno yake, taass inabid zheshimiane