Ndugu yangu @Madeeseneda nimeona umechange mpk Bio yako pale IG... toka kua mwanamziki mpaka Baba & businessman.. nnachoamini mimi unaweza kua vyote hivo na bado ukabaki kua mwanamziki..
so natamani kuona unabakia kwenye kazi iliotulea.. iliotupa kila kitu bila kumkwaza Mungu
Hivi karibuni tuta sain wasanii wawili kujiunga lebo ya Wasafi ila safari hii tumeamua msanii atakua na mashaidi wawili kutoka COSOTA na BASATA. Music ni biashara yetu na nijukumuletu kukuza na kusimamia hii kazi atuwezi kuacha hata iwe vipi. #theblackgodfather
Tutaendelea kumsogeza Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wetu kipenzi karibu yenu kila wakati.
Kanga hizi hazitovesha miili yenu pekee, Bali na mioyo yenu iliyojaa shukran na upendo.
JAMBO LA MAMA NI JAMBO LETU.
Kuna tofauti kati ya mzazi mfadhili na mzazi mlezi, Mzazi mfadhali anatoa matumizi tu ila mzazi mlezi hukaa karibu na wanae na hujua kila hatua zao. Tujitahidi kuwa Wazazi walezi ili watoto wetu waweze kuja kutulea uzeeni, nasi tuone matunda yao. #godfathertale
Ndugu Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Ukubwa wa maarifa yako kwenye ujenzi wa Chama na Serikali inatosha kuona namna Mungu alivyotupa Kiongozi atakayetufikisha kwenye mafanikio kwa fahari kubwa.
Asante Mama.
Nashukuru sana wote walio husika kwenye mjadala wetu leo tweeter spaces uliojaa afya na tija kwa ajili ya tasnia yetu ya muziki.. Twendeni tukatekeleze yote tuliyo yajadili kwa vitendo zaidi..