Napendekeza
1. Tuwe na Umoja, tuweze kufanya mambo makubwa pamoja katika safari yetu yakuikomboa Tanzania.
2. Tuwe na uongozi wetu.
3. @TitoMagoti awe Mwenyekiti wa mpito wakati wa uundaji mpaka uchaguzi wa uongozi!
REPOST 1000+ mmeridhia <1000 mmekataa!
#NoReformsNoElection
Ukiona mtu amepost hili neno haijalishi mna ugomvi au chuki wewe Repost ...Repost 🤞
Tumeamua njia hi nisahihi sisi kupata madiliko ujumbe ufike
Repost 🙌
@YerickoNyerereT Yaan dola ijichafue? Huna akili wewe! Ni sawa na wee uue mtu umzike kwako ndani alafu mtoto wako aseme najua ulikomzika alafu useme mtoto analeta agenda kuzima suala la baba kuhamisha Njia ya kijiji? Elimu zenu mnazipata wapi vijana ?
Swali kwa Tulia Ackson:
*Kanuni za Bunge zinaruhusu Mbunge kuhimiza mauaji na majeraha ya binadamu mwenzake kinyume na SHERIA za 🇹🇿?
*Please ensure you publish Kanuni za Bunge toleo la 2023 maana haziko kwenye website yenu.
Kufahamu kipimo cha ujinga wetu ni hapa;
Watu wanawasha VPN kumpongeza aliyezima 𝕏
Waliozima 𝕏 wanawasha VPN kupongezana 𝕏
Watawala wanaogopa maoni ya watu wa 𝕏
Lakini, watawala wanatumia 𝕏 kutoa taarifa zao
Hapo ndipo shetani anashangaa na kuona aibu
Cost and benefit analysis ilifanyika kabla ya kufikiria:-
1. Kuwazuia au kuwaruhusu raia wa nchi jirani na sisi kuhudhuria kesi ya TAL?
2. Kuwakamata na kuwatesa wanaharakati wa haki za binadamu kutoka majirani zetu?
Aje mtu atuambie kama faida ilizidi hasara ambayo wangeleta
Hapa kuna code kadhaa katunia Gwajima
👉🏽 watu wa usalama, polisi ni competent kuna ka kikundi - anamaanisha kuna rogue group hii ambayo ni hatari!
👉🏽 kakikundi kanaweza kutumwa na watu anayewateua watu wa mifumo hii ya usalama hivyo wamiwakamata wanaambiwa waache
Anayemteua IGP ni nani kwani? 😀
Gwajima bwana!
👉🏽 mfano wa Abduli wa Samia 🔥 kamtaja straight kama mfano - ni mwanasiasa wa pili baada ya Lissu kumtaja Abdul na kumlink na Samia
Huyu Gwajima! Msione vyaelea vimeumbwa!
#TutaelewanaTu
Wakili mzima na mwanaharakati unatoka hadharani unadhihaki mtu kutekwa na kuonesha furaha kwa jambo hilo kisa tu mmepishana mitizamo ya siasa, wale malaya ile kesi yao ukishinda si watakoma.