Habari @VodacomTanzania
Ni uhuni gani mnaufanya kwa wateja wenu mpaka mtu nashindwa kujiunga vifurushi eti kisa namba yangu ipo chini ya mtu mwingine ambae ni mfanyakazi wenu hiki ni nini hasa? sio mara moja naweka hela inapotea tu kwenye mazingira ya kutatanisha kumbe nyie
Ufaransa wanaonekana wakawaida sana leo licha ya kuwa na wachezaji wenye majina makubwa kama Mbappe, Olise, Dembele, Saliba nakadhalika. Senegal wamejua kuwadhibiti vizuri hiki kipindi cha kwanza, ngoja tuone second half itakuaje.