Eneo Linauzwa
Location Kawe Round about kama inavyoonekana kwa picha
Panafaa kwa Kujenga Apartments au Ukumbi wa Sherehe
Ukubwa sqm 3000
Bei yake ni Tsh 500k Per Sqm
Mazungumzo yapo karibu
VIDEO:
"Yataisha"
Ni maneno ya Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Tundu Lissu @TunduALissu akiwaambia wafuasi wake waliokuwa mahakamani mara baada ya Shauri la Marejeo lilofunguliwa na DPP dhidi yake kuahirishwa.
Akizungumza katika namna ya utani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA @godbless_lema alipomtania juu ya kunenepa Lissu alimjibu 'kama walitaka nikonde watafute utaratibu mwingine'
NILITAPELIWA KIWANJA MBEYA 2025
Lakini Leo nimekaa usiku nikajiuliza natumiaje hizi AI, kuspot viwanja vikali, Bei rahisi na vyenye hati kupitia TAUSI PORTAL
Nimetumia AI (Claude, chatGPT)
Chatgpt imeniandikia Kila kitu kuhusu KIWANJA BORA, miradi inayokizunguka.
Nilieka budget isizidi Laki 8 ila kiwanja kina potential ya Kukua value baada ya miaka 5-10
Halafu nimeConnect na Apify, webscrappers kadhaa
Ko nikiwa na hela nakuja kwa hii TAB tu naiuliza Viwanja gani potential leo inanipa PDF detailed ya kila kitu
🙌🏽
RESULTS ni INSANE MAMYAKE🙌🏽🙌🏽
Step-by-step video itapanda Youtube I think Jumatatu🫶🏾
Kunawale panya wanaingiaga kwenye magari,akisha ishi humo kwa muda kidogo usidhani labda kuna mahali unaweza ukamuacha,unaweza ukawa unepaki,anashuka anaenda kutafuta msosi hata mita 20 huko,ila ukiliwasha gari ili uondoke lazima atoke speed aje kupanda,hatakama eneo hilo kuna magari 200 ila muungurumo wa wa engine ya gari yako anakua amesha ukariri.😀😀🙌
🇬🇭 Ghana ✅
🇪🇬 Egypt ✅
🇨🇻 Cape Verde ✅
🇨🇮 Côte d'Ivoire ✅
🇲🇦 Morocco ✅
🇿🇦 South Africa ✅
🇸🇳 Senegal ⏳
🇩🇿 Algeria 🔜
🇨🇩 DR Congo 🔜
🇹🇳 Tunisia ❌
6 African teams have already secured places in the FIFA World Cup Round of 32, setting a new record for the continent.