Wenye VPN hawaamini
Wasio na VPN hawaamini zaid
🤯yaani anaepostiwa ili aone haoni..na anaepost hainjoy maanaa huenda anaona mwenyewe😂cant help bt laughing
Yani ni kama uandae meza nzuri ipendeze kwa vinono halafu mlaji amebanwa na tumbo la kuhara chakula hakiliki.pathetic😔