@AnnaTibaijuka Pamoja na nyongeza ya ufafanuzi wa Prof Tibaijuka, nami niongeze kuwa kesi
Ile imeishapoteza ujinai na kuvaa usiasa. Walipoanza kuzungumza naye kwa siri kumpa masharti ya kumwachia, walibadili mashtaka kutoka jinai kuwa ya kisiasa. Yakiingia huku, kila mwenye kisu kikali anajadil
@Ntobi_ Ujinga umeanza lini kuwa tusi? Wasiomwelewa ni wajinga wa anachokisema. Na yeye ni mjinga wa kutoelewa wanaogopa nini kususia uchaguzi. Na mimi ni mjinga wa kutoelewa pande zote mbili.