Idara ya Mazingira na Usimamizi wa taka Mombasa imesema ni magari 18 pekee kati ya 28 ya kubeba taka ambayo yanafanya kazi kwa sasa, hali iliyosababisha mrundiko wa taka maeneo kadhaa yakiwemo Kwa Kombo, Bokole, Chaani, Kadongo, VOK, Shanzu na Ziwa la Ng'ombe.
Kamanda wa Polisi wa Kisiwani Mombasa Nicholas Chalulot amesema maafisa waliwafuatilia washukiwa waliokuwa wakihusishwa na visa vya kuvunja magari na kuiba mali za wananchi maeneo mbalimbali ya jiji la Mombasa.
Katika ombi lake, mwanafunzi huyo anadai kuwa agizo hilo linakiuka haki za wanafunzi za kuchagua mwonekano wao, na halizingatii uhuru wa kibinafsi unaolindwa na katiba na analitaka bunge kuingilia kati.
Bado mapambano asema Gachagua. Gachagua akataa fidia ya shilingi milioni 50.Bado mapambano asema Gachagua. Gachagua akataa fidia ya shilingi milioni 50.