Mnaopenda Sayansi na habari zake zote . Je mtoto wangu akisoma hili na lile atakuwa nani ?Zaidi kama binti anapenda haya mambo hakikisha anahudhuria
https://t.co/Bfjuh7zyka
𝗔𝗶𝗿 𝗙𝗿𝗮𝗻𝗰𝗲 𝗿𝗲𝘀𝘂𝗺𝗲𝘀 𝗣𝗮𝗿𝗶𝘀-𝗞𝗶𝗹𝗶𝗺𝗮𝗻𝗷𝗮𝗿𝗼 𝗳𝗹𝗶𝗴𝗵𝘁𝘀 𝗮𝗳𝘁𝗲𝗿 𝟮𝟴-𝘆𝗲𝗮𝗿 𝗵𝗶𝗮𝘁𝘂𝘀
November 20, 2024
𝘽𝙮 𝙏𝘽𝙄 𝙍𝙚𝙥𝙤𝙧𝙩𝙚𝙧
Dar es Salaam
Air France has inaugurated its new flights from Paris to Kilimanjaro after a 28-year hiatus to Tanzania's tourist hotspot.
The airline will now operate 3 flights a week to Kilimanjaro International Airport (KIA) by an Airbus A350-900 aircraft as an extension to its existing Zanzibar route.
On November 18, 2024, the airline inaugurated the new route from Paris-Charles de Gaulle to Kilimanjaro.
This route will be operated on Mondays, Wednesdays, and Saturdays using the Airbus A350-900 aircraft equipped with 34 seats in Business, 24 in Premium Economy and 266 in Economy.
This Paris – Zanzibar – Kilimanjaro route will replace the Paris – Zanzibar – Dar es Salam route operated by Air France until now.
Dar es Salam will remain accessible via Amsterdam, with KLM operating flights to the Tanzanian commercial capital 6 times a week.
In addition to Dar es Salam, KLM’s other destinations in Tanzania include Kilimanjaro (4 flights a week) and Zanzibar (2 flights a week).
By coordinating the two airlines' flight schedules, Air France and KLM will offer customers a wider choice of operating days and times in Tanzania.
Known as the Roof of Africa, Mount Kilimanjaro is the continent's highest mountain.
It has three main volcanic peaks: Mawenzi, Kibo and Shira, and offers a wide range of itineraries for hikers.
Designated a UNESCO World Heritage Site, Kilimanjaro National Park is also the ideal starting point for a safari tourism in Tanzania.
An amazing effort for a special cause 🫶
Congrats to those who reached the summit of Kilimanjaro — we're proud of you all 🏔️🧗♂️
#MUFC || @MU_Foundation
Hakuna sababu ya kuongopa. Taarifa tulizotoa kwa umma zipo wazi kwamba safari ya Mhe Rais @SuluhuSamia nchini Korea ina sehemu mbili: sehemu ya kwanza, Rais wetu amealikwa na Rais wa Jamhuri ya Korea, yeye kama Rais wa Tanzania, kufanya ziara rasmi ya mahusiano ya nchi na nchi (bilateral) nchini Korea; sehemu ya pili, amealikwa pamoja na Marais wenzake wa Afrika kujumuika nao kuhudhuria Mkutano wa Korea-Africa Summit. Nimeweka picha ya sehemu ya taarifa yangu kuonyesha kwamba tulisema ukweli.
Sehemu ya kwanza ya ziara hii imefanyika tarehe 2 Juni 2024, ambapo Rais wetu alikaribishwa na Rais mwenzake Ikulu ya Korea kwa mazungumzo ya uhusiano kati ya nchi mbili, chakula cha heshima cha mchana, na kusaini mikataba, ukiwemo wa dola bilioni 2.5. Hapa, tofauti na unavyotuhumu, hakukuwa na Rais wa nchi nyingine.
Sehemu ya pili ya ziara itakuwa tarehe 4 - 5 Juni, ambapo Rais wetu amealikwa na wenzake wa Afrika kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa Marais wa Afrika na Korea. Taarifa za Mkutano huu zipo mitandaoni. Katika mkutano huu, Rais wetu atahutubia kwenye Mkutano Mkuu wa Pamoja wa Ufunguzi (plenary) na pia atazungumza kwenye majopo mawili (panels): moja, kuhusu miundombinu na la pili kuhusu usalama wa chakula na madini.
Rais wa Korea alionelea amualike Rais wetu kwa ziara yake mwenyewe katika kipindi hiki cha kuelekea Mkutano wa Korea-Africa Summit ili iwe rahisi kufanya mambo mawili katika safari moja: kufanya ziara ya mahusiano ya nchi na nchi na kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Korea na Afrika. Ukisoma taarifa zetu ndivyo tulivyosema. Kwenye mahusiano ya Kimataifa mambo kama haya ni ya kawaida. Majuzi tu, hata sisi tulialika Marais kadhaa kwenye Sherehe za Kuadhimisha Miaka 60 ya Muungano tarehe 26 Aprili 2024, ikiwemo Rais wa Somalia. Siku iliyofuatia, 27 Aprili, Rais wa Somalia akafanya ziara ya kitaifa (State Visit) nchini na kupewa itifaki stahiki.
Katika mipango ya ushirikiano wa Kimataifa, Tanzania ni moja kati ya nchi za Afrika zilizopewa kipaumbele na Korea. Pia Tanzania ni moja kati ya nchi tatu ambazo Korea imeamua kufanya nazo makubaliano makubwa ya Ushirikiano wa Kiuchumi (Economic Partnership), ambapo leo, mbele ya Marais wawili katika
Ikulu ya Korea, tumesaini hilo Tamko. Pia kwa Korea, Tanzania ni nchi ya pili kwa kupokea ODA kubwa zaidi, baada ya Misri. Kumekuwa na manufaa makubwa katika ushirikiano na Korea. Kwa uchache sana, kuanzia mwaka huu tu pekee, manufaa yanayotarajiwa ni:- hospitali yote ya Muhimbili kujengwa upya kabisa na kuwa kubwa zaidi na ya kisasa zaidi na pia ujenzi wa Chuo Kikubwa Cha Kisasa cha Teknolojia kule Dodoma. Katika Mkutano kati ya Rais wetu na Rais wa Korea, mambo mapya makubwa ya ushirikiano yameamuliwa ikiwemo ushirikiano mpya kwenye Uchumi wa Kidijitali, Kusambaza Elimu Kidijitali hadi Vijijini, Uchumi wa Bluu, Kuongeza Thamani kwenye Madini Nchini na Ujenzi wa Miundombinu.
Baada ya Korea-Africa Summit kunatarajiwa kutolewa Tamko la Pamoja la Ushirikiano Mpya kati ya Afrika na Korea. Leo Mawaziri wa Mambo ya Nje tumekaa na kupitia Tamko hilo kabla kikao cha Marais tarehe 4 Juni.
Nimechukua ushauri wa @fatma_karume kwamba tuwe tunaelezea,
hata kama ni kwa urefu kiasi gani, haya mambo ili kusaidia kuelimisha.
NM-AIST through the Artificial Intelligence & Complexity Sciences of the School of CoCSE has organized a boot camp to equip young minds with the world of artificial intelligence (AI).
Registration link : https://t.co/dohkBCrll7 TZS 250,000 per Child.
Serikali imefanya mapinduzi makubwa katika Wizara za kisekta na Wizara mama ikiwemo Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Maonesho haya yanatoa fursa kwa wabunifu na yataimarisha matumizi ya Teknolojia katika maeneo mbalimbali.
Mhe. Patrobas Katambi