@Rydx_017 Sio muda wote unatakiwa uwaze katiba mpya, kuna muda wa burudani
Wakati mwingine ukiona kuna usivoweza kuvipata bora uendelee na maisha mengine tuu
@mangekimambi@mangekimambi#IranWarβ is not about Nuclear weapons, if Iran wants Nuclear weapons they'd have it long time ago and everyone knows that...
Trump doesn't care about Africa and FYI! America is the country that funded ISIS AND AL-QAIDA to use them as proxy.
@mangekimambi Kama ni maandamano inabidi kujipanga kuanzia mwanzo mpaka mwisho kwa kufuatilia details zote, kuwe na road map ya Nan ataongoza hayo maandamano na kuchukua uongozi wananchi wakishinda