Happy Sabbath from Bucharest, Romania! 🇷🇴 Home to about 1.7 million people, Bucharest is the heart of a nation of roughly 19 million. Please pray for Romania’s 60,636 Adventists worshiping in 1,069 churches as they share the hope of Jesus. He is coming soon! #HappySabbath
🛻Ford Ranger Moja ya Pick Up zinazofanya Vizuri Tanzania.
.
Machine imeingia duniani toka 1983 ndo uzao wa kwanza umetoka.
.
This is to say ina miaka 41 kwenye game sasa leo mambo sio mengi nyama ziko juu mtori chini.
.
Gonga like na RT tuanze safari tukiondoka ni moja kwa moja
“I have been crucified with Christ; it is no longer I who live, but Christ lives in me; and the life which I now live in the flesh I live by faith in the Son of God, who loved me and gave Himself for me.” (Gal. 2:20, NKJV)
Happy Sabbath!
No tear falls unnoticed. No silent prayer goes unheard. We serve El Roi the God who sees. He sees your struggles, your faith,your waiting, and your victories yet to come.May you find comfort in knowing that the God who sees you will answer you in His perfect time.
🔥Oyaa Juzi tumeleta AUDI A7 2011 3.0L TFSI Supercharged Sportback Model Hii Machine ni Balaa..
.
Top Speed inasoma 300Km/hr na inafikika vizuri kabisa cause Tumepiga test drive chuma ikafika 260Km/hr..
.
Nimekuwekea video hapo chini + hints muhimu kuhusu hii gari twende 👇..
"Kijana ukitaka hela za haraka sahivi anzisha kanisa maana majinga ni mengi ni mengi sana yametapakaa anzisha kanisa nenda kiwandani chukua katoni nyingi za maji nyunyiza maji sema maji haya ni ya upako utaona watu watakavyoyagombania , sikuhizi wachungaji badala wawasaidie watu wanawafilisi watu, na mtafilisiwa sana maana kichwani hamna kitu"
Mchungaji.....
🚨Top Ten ya Gari ndogo za Toyota zinazotumia mafuta kidogo [Best Fuel Economy]..
.
Kumekua na swali common sana ambalo mara kwa mara napigiwa simu na wadau wakiuliza..
.
Utasikia Ebana Chief hivi naweza pata gari gani ndogo ambayo haili mafuta na ni rahisi kuimaintain..
Pita hapa chini ujifunze warning light zingine ila ukiona zimewaka ujue shida ni nini na ufanye nini..
.
Maana unaweza ukakaanga engine ndani ya dakika 5 tu ikawa balaa..
.
Ukimaliza kusoma thanks to RT na wengine wajifunze kitu..
.
https://t.co/VF5QaTOzY2
@EsirEid Binafsi ikitokea nimepata hicho kiasi kitanisaidia kurejesha ajira binafsi iliyokufa baada ya vifaa vya kazi vingi kuharibika, haswa Printer na computer (nilikuwa nafanya stationery before but currently am jobless). Hivyo hiyo itanisaidia kuondoa hii adha ya kupata chochote kitu
Baba CLEMENCE MWANDAMBO ametekwa na RCO WA MBEYA.
Huyu RCO ndie aliefanikisha zoezi la kumteka MDUDE. Watu wa Mbeya tunatakiwa kufika kwa RCO MBEYA haraka sana.
#FreeMwandambo#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Jeshi la polisi limekaa kimya na ndugu yetu NICODEMUS.
Kwenye UTEKWAJI wake alikuwepo MSAIDIZI WA MAFWELE “GEORGE” kwahiyo tunajua yupo mikononi mwajeshi la polisi.
#FreeNicodemus
REPOST 200
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎