@HabariDigital_@godbless_lema Kanisa la gwajima sio taasisi ni lake peke yake. Hiyo ni sole proprietor na ndio maana wamelifunga kwa sababu hakuna separation kati ya kanisa na Gwajima. Gwajima akifa na kanisa limekufa. Tofautisha makanisa ya Madhehebu kama Roman Catholic, KKT nk
@TheRealEkiswaga Ndio hapo sasa, aje afanye tena press tuone kama kweli yeye mwanaume. Csi wamezoea kudharau wanawake hawa, hapa sasa unacheza na taasisi sio jinsia
@VitusNkuna Ila hata afanye nini Mungu anajua hana nia njema na nchi na hawezi kuupata hui Urais wa nchi labla awe rais wa TFF. Huwezi kuichezea mamlaka ya Rais halafu watu wakakutazama tu .
@campafrica968@HecheJohn Fedha za chama, CCM ina miradi mingi na pia ina makampuni na ruzuku kutoka serikali na ada za wanachama
Vyote hivi ndio vyanzo vya mapato kwa chama kubwa
@pastorzacq @goligani Hiyo asilimia inawahusu kima cha chini tu na wengine itaongezwa katika payroll, hajasema itaongezwa asilimia ngapi?
Asante mh Rais wafanyakazi tunakupenda sana
@HabarimpyaTv Ukiacha ushabiki, mwaipopo umeeleweka kabisa.maaskofu sasa wameacha kuhubiri injili na wamekuwa wanasiasa.
Muacheni Rais wetu afanye kazi zake kwa utulivu