Mkutano Mkuu wa 58 wa Bandarini SACCOS Ltd, uliofanyika tarehe 31 Oktoba 2026 katika ukumbi wa Jengo la TPA One Stop Center, Dar es Salaam.
🎥 Credit to @CloudsMediaLive
Mkutano Mkuu wa 58 wa Bandarini SACCOS Ltd, uliofanyika tarehe 31 Oktoba 2026 katika ukumbi wa Jengo la TPA One Stop Center, Dar es Salaam.
🎥 Credit to @azamtvtz
Alichokizungumza Mtendaji Mkuu wa Bandarini SACCOS Ltd, Bw. Godfrey Rwehumbiza, wakati wa ufunguzi wa zoezi la uchangiaji damu linaloendelea katika Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke, Dar es Salaam, kuanzia tarehe 26 hadi 29 Oktoba 2026.
🎉 HERI YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA!
Mwanachama wetu, tunakuthamini na kujali mahitaji yako. Tunaahidi kuendelea kukupatia huduma bora, za haraka na zenye thamani zaidi.
Asante kwa kuichagua Bandarini SACCOS Ltd.
Wezesha Wanachama Bora na Imara.