KINGU: MAADILI NI MSINGI WA JAMII IMARA
Mhe. Elibariki Kingu amemuunga mkono msanii mkongwe Dudu Baya katika juhudi za kulinda na kuenzi maadili ya jamii.
Mbunge wa Jimbo la Ikungi Mashariki na Mjumbe wa Kamati ya Bajeti, Chief Thomasi Mgonto, amesema Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuthamini na kutambua mchango wa wafanyabiashara katika uchumi wa nchi, kuanzia ngazi za chini hadi ngazi za juu.
Mbunge wa Singida Mjini, Yagi Maulid Kiaratu, ameanzisha Jimbo Cup kwa lengo la kukuza na kuibua vipaji vya vijana kutoka matawi na kata mbalimbali.
Kiaratu ametenga vifaa vya michezo vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 15 kwa timu shiriki, akisisitiza kujenga msingi
MLATA: MRADI WA UMWAGILIAJI SIKI 90 UKAMILIKE, TAKUKURU IFUATILIE
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Mlata, amesisitiza kukamilishwa kwa Mradi wa Umwagiliaji Siki 90 kwa wakati, huku akielekeza TAKUKURU kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa ujenzi wa mradi huo
Matokeo ya mechi za UEFA CHAMPIONS League za 10/09/2026
* Fenerbahçe 1–1 AS Roma
* PSV Eindhoven 1–1 Shakhtar Donetsk
* Bayern Munich 5–0 Bodø/Glimt
* Como 1907 4–1 RB Leipzig
* Manchester United 4–0 Sabah FK
* Slavia Prague 2–3 Lens
Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Mashaka Biteko, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson pamoja na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) Tumaini Nyamhokya
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na Maandalizi kuelekea sherehe za siku ya wafanyakazi duniani zitakazofanyika kesho Mei mosi, 2025 kitaifa Mkoani Singida katika Uwanja wa Bombadia
Sehemu ya kazi siku ya leo nilipokutana na kufanya mazungumzo na mmiliki wa klabu ya mpira wa miguu ya Manchester United, Sir Jim Ratcliffe, Ikulu, Dar es Salaam. Tumekuwa na mjadala mzuri kuhusu kushirikiana katika masuala ya uhifadhi pamoja na utafiti.
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yana lengo la kuhamasisha utoaji wa haki za wafanyakazi, kuboresha masharti ya kazi na ustawi wa wafanyakazi kwa ujumla.