#UPDATES Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewataarifu wanachama wake kuwa wamepokea wito kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Chadema, kikao na Jaji Mutungi kitafanyika siku ya kesho Jumanne Machi 18, 2025 na ajenda kuu ya kikao hicho โNo Reform, No Election.โ
Chadema ilitangaza kampeni ya No Reform, No Election chini ya uongozi wake mpya kikiongozwa na Mwenyekiti Tundu Lissu, kikilenga kufanyika kwa mabadiliko ya kisheria kelekea uchaguzi mkuu #EastAfricaTV