@rayasel94 Na sasa iv nao wapo uku kwa wakubwa tunaomba wakalibebe maana juzi walitucheka sana ila wakumbuke sisi bado tunajitafuta tu. Sasa ni gemu kila baada ya siku 3 na sio zile wk 2 z mapumziko tenaπππππ
@George_Ambangil@mzee_mbuzi Kuna namna football inatufundisha kwa ugumu/ulahisi, inategemea na jinsi umejipanga. Jamaa kwa misimu 3 wamepambana kuvuka mstari. Proven winners lGyokeres, Rice, Hincapie uko walikotoka ni machamps na wamewavusha. Now watapanda mbegu kwa kina Downman kazi tunayo.