Passion na commitment kidogo, posters za jana zingepambika kwa mitindo tofauti ya picha za Mwalimu, badala ya pakua, pachika, tuma.
Binafsi nilitumia chini ya dakika 30 kuandaa picha ya peke yangu kwa kujua 90% zitatumika picha zenye kufanana yani kupakua na kupachika.
Matumizi ya logo na brand collaterals kwa miaka ya sasa tofauti na zamani.
Njia nyepesi ya kusahisha logo, itizame kisha jiulize kwenye mfuniko wa pen inaenda kukaa vipi. Ukikosa jibu la moja kwa moja, fahamu inahitaji msasa kuikolezer.
Font ni sehemu ya logo, kwenye logo design usitumie default setting za font kama zilivyo.
Moja ya dhumuni la logo ni kuhifadhi kumbu kumbu kwa mtazamaji, tafuta namna ya kubadili default setting za font kuweka upekee kwenye logo.
Our Kolezer team has successfully completed the full design and development of @emwanicafe website.
As the Brand Designer, my role focused on crafting the site structure, UX/UI, and ensuring brand identity cohesion across every touchpoint.
#WakolezajiUnit
Crafting identities that speak purpose — moving from raw inspiration (Drill Bits) into bold sketch explorations. Cooking something powerful for a mining brand.
#Brand Identity design process.
I'm dropping my Complete Thumbnail Assets Pack ⚡️
Includes: 5 PSDs, skies, textures, BGs, cars, mansions, face retouch & more!
To get this pack:
Retweet ♻️
💬Comment "ASSETS"
(Must be following me)
Ulikua unajua kwamba mbweha wa kike anaitwa "Vixen"?
Na neno Vixen limekuwa likitumika kwa modo wa kike mwenye kuvutia
Kwenye video "vixen" ana kazi nyingi, ikiwemo:
���Kuboresha video kwa kuongeza hamasa na nguvu ya kimuonekano
👉 Kuiba attention yako kwasababu ya kuvutia kwao
Sasa kwenye hii video modo wangu alianza kuchoka, na kuuliza mbona namwambia arudie movements zake...
Ambacho alikua hajui, sababu ya upya wake kwenye hizi mishe, ni kwamba kila cut na kila angle inaongea sehemu moja ya story nzima..
Na marudio hayo ni njia pekee ya kupata shots bora kwaajiri ya kuediti badae