@JulianaMbowe @CloudsMediaLive Huyu mzee alisababisha wazazi wangu wapate tabu sana alituchomea nyumba kijiji kwetu wakati ni mkuu wa wilaya serengeti daah hii nchi hapana
@tanescoyetutz Rudisheni Umeme Serengeti Mugumu mmekata toka asubuhi mpaka sasa hakuna umeme kila siku imekuwa tabia hiyo lazima mkate mara kwa mara leo mmeamua tangu asubuhi rudisheni umeme @tanescoyetutz@JMakamba
@tanescoyetutz Jamani Tanesco mbona mnatufanyia vibaya sana Wilaya ya Serengeti tangu jana saa kumi hakuna umeme mpka sasa hakuna umeme jamani @tanescoyetutz@JMakamba