@England If you want to win trophies please fire The coach..He cant handle super star players .He deserve coaching academy team..England had big team with big players we cant go with Gareth Southgate
@YerickoNyerereT@azamtvtz Mfano zile Tamthilia zao za Kituruki za saa nne usiku nzuri shida tu kwenye Udini tu pale wanapowafanya wa roma ndio Infedals. Huwa wananikwaza tu hapo
@prossoff Atafute pesa mali zipo nyingi sana na atachagua anayemtaka. Ndoa ni maisha kuna wakati upendo unaisha so usipende kuoa mtu anayempenda sana. Achana naye endelea na safari mpya ya maisha ambayo umeshaanza
@mdudechadematz @SuluhuSamia Kwa kweli kodi ni kubwa kupita kiasi..Nafikiria TRA waangalie upya sababu kodi inavyokuwa kubwa inafanya waigizaji kupungua na hivyo kukosa mapato mengi.. Inawezekana mapato mengi nchi inapoteza kwenye uagizaji wa magari kwa sababu ya kodi kubwa.