FREE TO PLAY sasa inapatikana SportPesa. Cheza GOAL RUSH BURE leo kwa kubofya HAPA! #MamilioniNaGoalRush https://t.co/vc5tvB9alP https://t.co/0gJETMTg3S
@Sativa255@tanpol@Sativa255 $ jumatano vijana zaidi ya mia na sabini wametapeliwa kwa kudanganywa kupata ajira ya @UhamiajiTz na tumeenda pale tukarudishwa wote vijana wengine walilala nje pala Tanga this is so sad tunaumia sana millions of money zimeliwa
@420Cousin @maliki80 Unahitaji sana darasa la kujifunza vitu π kwahiyo wale wafanyakazi wote walioshangilia pale wanalipwa 370,000ππ ni vipi ama umechoka kutumia ubongo
@420Cousin Hii nchi elimu ni duni sana. Kima cha chini maana yake ni wafanyakazi wote walioanza na mshahara wa kima cha chini ambacho ni chini ya milioni moja, kama ulianza kazi na chini ya 1M hata kama sasa unalipwa 3M ongezeko Hilo linakuhusu.