@HildaNewton21 Huyu jamaa hatari ila kwamapingamizi haya waliyoweka hawa ndg zetu sijui km jaji hatotupilia mbali ushahidi huu ila mungu yupo atafanya miujiza yake hapo mbeleni
@Iamsospete1 mm nimehama ninani mwezi xaxa nikiweka buku napata gb 1 nikiwasha data nikifungua tweet moja tu wanatuma sms mteja umebakiwa na mb 150 kifurchako kuisha