#TajiriLaKihaya
Mheshimiwa TUNDU LISSU kuendelea kukaa korokoroni hadi sasa HAIFAI na Sio sawa!
It could only be Relevant kama anavyoendelea kukaa Mahabusu- huku nje mambo yote yamesimama…
Wananchi wanaandamana kila siku… mambo hayaendi na serikali haifanyi kazi!
Na Pressure from Mataifa ya nje inakua kubwa!
Ila look at the current situation… kila mtu yupo busy na mambo yake… Raia tumemsaliti… tumeishia kutembeza HashTag mbili tatu siku kesi yake inasikizwa after that kila mtu anaendelea na kutafuta rizki yake.
Serikali inaendelea na shughuli zake bila tabu yoyote…. Na ajabu wale wanaosema LISSU aendelee kubaki gerezani… wengine wameajiriwa serikalini,wengine wanashirikiana na serikali kwenye shughuli zao za kila siku… hata Barua ya utambulisho mnazifata kwa mwenyekiti wa ccm kijijini kwenu…
HAKUNA pressure yoyote kutoka nje… kila nchi ipo busy… Vita kila sehemu… marekani wengi waliokua wanaitegemea yenyewe inateka kabisa rais aliopo madarakan mchana kweupe (venezuela) anaua a Supreme leader (iran)- huyu hana uhalali wowote wa kuleta utawala bora wala hawezi leta msaada wowote- yupo busy na maslahi yake!
Kwa dunia ilipo sasa…. WE ARE ON OUR OWN… hakuna wa kutusaidia…
Mahakamani Lissu hawezi pata haki yoyote- otherwise kesi yake ingelikuwa imeisha kufikia sasa… but mahakama yenyewe inamsikiza namba moja anachotaka!
HashTag haziwezi mtoa lissu gerezani kwa hali ilivyo sasa hivi- kila nchi ipo busy na shida zake… HAKUNA HAKI DUNIANI!
Narudia tena - There is No a Permanent enemy in Politics- na wanaharakati hawana chama… hata leo chadema tukichukua nchi- hawa hawa wanaharakati wanaotupa sapoti sasa hivi ndio watakua wapinzani muda huo…otherwise watakula wapi?
Mwanaharakati is always in opposition regardless of the government in place- angalia mfano kenya AMNESTY INTERNATIOL-
Lissu Be a politician- bargain toka nje mambo yaendelee …. Dunia haina huruma wala haki!
Muda ndio huu…. Otherwise muda unavyoenda … ndio watu wanasahau… serikali inazidi kuwa stable…inaweka mambo yake sawa na kuwaweka karibu mataifa makubwa!
Then you will be irrelevant- bargaining power uliyonayo now itaisha na utatoka kwa masharto yao!
The world is ruthless!
Huu ndio ukweli mchungu…
Wakati Mouting anatolewa nje alibebwa mzobe mzobe na machela za kawaida kwa kasi ya 6G. Alipotolewa Sliman wajuba wakaingia na kigari kumbeba mchezaji wao. Sijajua baada ya mechi kama hawajakisahau hiki kigari chao 😅
@kigogo2014 Kwel nikkumbuka nilivyokuwa namfuatilia mlawa mwez March naamin pesa haishindwi kitu, kula kumekufanya utupigie magoti Wana ccm kwel huna tofauti na h baba