Njaa na shida ya pesa visikufanye kumnyanyasa mtu asiye na hatia au kumtendea mwingine kama mnyama.
Kila baya unalofanya kwa wengine litakurudi siku moja, kwa njia usiyotairajia.
Kipimo ni kile kile, bro.
Jinsi ya kujiheshimu Mwenyewe
1. Mtangulize Mungu kwa kila Jambo
2. Punguza kujieleza kupita kiasi
3 . Weka mipaka yako bila kuomba radhi
4. Timiza ahadi zako
5 . Dhibiti hisia zako hadharani
6 . Usiombe umuhimu kwa watu
7. Punguza matarajio kwa watu
8. Heshimu muda wako
@Brother_0101 Tunaweza tusimwelewe Baba au kuona thamani yake tukiwa bado wadogo au hata vijana, lakini kadri miaka inavyosonga na maisha yanavyotufundisha, tunaona hekima na upendo aliokuwa nao hata kama hakuwa mkamilifu.
@Brother_0101 Maumivu hayo yaliniumiza lakini ndiyo yalinifungua macho Nikaamua kujipenda kwanza Na sasa Naishi kwa amani nikiamini mwenye kunipenda kweli hatanifanya nijihisi kama mzigo
@Brother_0101 Siku moja nilikaa kimya kwa makusudi nikaona kama hakutafuta hakugundua kama nimepotea Hapo ndipo somo kubwa lilinipiga Usimpe mtu nafasi ya kwanza maishani mwako ilhali kwake wewe ni chaguo la mwisho