Tunawakumbusha @tanpol acheni kucheza na amani ya Tanzania acheni kucheza na maisha ya vijana wa chadema na vijana wa kitanzania.
Tunaendelea kuwakumbusha kwa hatua hii.Waachie viongozi wetu bila masharti yoyote.
@tanpol Muachieni Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa Kigoma Kamanda Colletha Ntidyicha na wenzake,Mnavyoendelea kuwashikilia mtaliingiza taifa kwenye machafuko.
Tunawaonya acheni tabia hiyo mara moja
Mwenyekiti wa BAVICHA mkoa wa Kigoma Kamanda Coletha amekamatwa jana ahsubuhi maeneo ya kwa Azizi Ally temeke na jeshi la polisi @tanpol , tumekzunguka vituo vyote vya DSM polisi hawataki kusema ni wapi wanamshikilia na kwa kosa gani. Tunawataka @tanpol kuheshimu Sheria.
Amani mnayojinasibu kuilinda kwa kutesa na kuteka watu,nawahakikishia kuwa njia mnazotumia mkisema mnalinda amani zinaharibu amani ya taifa na muda sio mrefu.
Ni kawaida kwa mwenyemamlaka na fedha kutokushauriwa na wasio na mamlaka wala fedha ila husahau kuwa mungu huwatumia wanyonge hawa kuwakumbusha wenye mamlaka kuhusu njia salama ya kwenda na kuthibitisha uwepo wake.@tanpol acheni kucheza na amani ya Taifa hili,muachie kiongozi mwenzetu bila masharti yoyote au mfikisheni kwenye vyombo vya sheria.
#FreeColletha
Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Kigoma Colletha Ntidyicha ametekwa mchana huu maeneo ya Mbagala Kwa Azizi Ally na watu waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa Polisi
Gari waliyotumia ni aina ya Landcruiser Hard top namba nyekundu DFP 1535
Hii ndo namba ya simu ya watekaji 0752053299
Tunalitaka Jeshi la polisi @tanpol Kumuachia mara https://t.co/O0ADvYl9VB tunaendelea kusisitiza kuwa Amani ya Nchi hii itaharibuwa na nyie msipojiangalia.
"Wanaosema nifungwe waambieni Katika historia hakuna shujaa yeyote anayeitwa shujaa ambae hajaonja kifungo au mambo tunayopitia. Hilo sio taji la miba ni taji la dhahabu. It is only reserved to kwa watu wa maana."
Ujumbe wa Mwenyekiti Tundu Lissu leo Tar. 23/09/2026.
Upako wa ukombozi tumeufikishwa kwa watu wa Maswa ahsubuhi ya leo wakati tukielekea Meatu kwenye mkutano wa hadhara leo jioni. Makamu Mwenyekiti Mheshimiwa @HecheJohn anaendelea kupeleka moto akiambatana na Mwenyekiti wa Kanda ya Serengeti kamanda Lucas Ngoto.
Maagizo yaliyotolewa na Mheshimiwa @TunduALissu ya kupeleka moto yanaendelea kutekelezwa. Kijana wa chama niko mzigoni tayari kusafisha njia, tukutane Serengeti.
Jumamosi hii kwenye BINTI NA KATIBA mada ni "Kwanini Katiba Mpya?"
Mabinti wote waliozungumza vipindi vitatu vilivopita wataidadavua kwakina mada hii.
Usikose kutufuatilia Kupitia Ticktock account ya BAVICHA Taifa.
BINTI NA KATIBA
Leo kuanzia Saa tatu Usiku, Mabinti Mbalimbali #bavichaqueens Watakuwa live katika ukurasa wetu wa TikTok kujadili Masuala Mbalimbali pamoja Na mchango walionao katika madai ya katiba Mpya, Usipange kukosa