@RevlineMbugi Hongera sana! Young talent, best politician in a making! Umeongea ujumbe mhimu sana wa kundi la dada wa kazi kutoka Iringa, kufanya kazi za munyumba jijini Dar. Hiyo topic ni nzito sana! Hiyo agenda usiache! Nakushauri uingie bungeni ukiwa na hiyo sera. #FreeTunduLissu
Katibu Mkuu wa BAVICHA,@Duahamud, ameambatana na Mwenyekiti wa BAVICHA Kanda ya Kusini pamoja na Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Temeke katika kushiriki Ibada ya Eid al-Adha iliyofanyika katika Msikiti wa Gadafi, Dodoma.
link
https://t.co/3LgyXz6LaW