@ezekiel_kamwaga@ACTwazalendo Kumbe ukiwa bonge inaathiri uwezo wa akili. Inabidi nipambane na gym nisije kufika upumbavu wa kufuga tumbo namna yako. Hasara kubwa kwa watoto wako kama una kizazi
@JumaAyoo Wewe kiazi sikiliza, wala huna haja ya kufungua mashtaka. Hao wenzenu waliofunguliwa kesi nendeni mkatoe ushahidi upande wake kama mna huo ushahidi. Mmeanza kujamba jamba mapema sana
@RRwemela@lifeofmshaba Imebidi niende nikaangalie profile pic yako ili nione mjinga anavyofanana. Kwenye kamusi wanatakiwa kukata picha yako waiweke pembeni ya tafsiri ya mjinga. Stvpid kabisa
@fbuyobe Serikali inataka kua reliable kwa information inayotoa ila wanakosa consistency. Reliability is direct to consistency. No consistency kwenye information yao then NO RELIABILITY.
@EsirEid@swahilitimes 13 is a cursed number.
No wonder ni Bunge la 13. Fuatilia nadharia ya number 13 na laana zake. Na kwanini kwenye ndege wanaruka siti number 13 na kwenye magorofa mengi ujenzi wanakwepa 13th floor na hata ikiwepo inaitwa 14th.
@jaliluzaid@tonyalfredk Yani wewe unajinasibu muislam mzuri na unashindwa kuongea kweli kama dini yako inavyoelekeza. Basi swala zako zote ni kuinama na kuinuka tu huna dini wewe
@HildaNewton21 Nauwianisha ya Lissu na wanachojibu hawa unaona namna mawakili jamhuri walivyo weupe. Kama kilichoandikwa ni sahihi basi hawajajibu hoja. Hoja ni Expert Report kupokelewa na mahakama. Mfano huwez kumpeleka mwalimu akatoe Doctor's expert report hata kama ni relevant to the case
@IAMartin_ Upo sahihi @IAMartin_ kuna nadharia moja inasema "An enemy of your enemy is your friend." Hata kwenye corporate world au Geopolitics wakubwa wanatumia hii sana. Inaweza urafiki na Gwajiboy usiwe permanent kwa kua haaminiki but at the moment inasaidia-solve our immediate problem
@Mchambuzi_Huru1@Mnyanda4@rollymsouth Hakuna kitu kinaitwa fishing kwenye cyber ww mvuvi. Kwenye cyber tuna PHISHING. Na pia hakihusiani chochote na kilichowatokea Jeshi la Polisi. Aya kamata wavu wako ukavue maana unaonekana unapenda samaki
@KennedyMmari Na bado reserve ya fedha za kigeni ikaadimika wakati hii ni moja ya wizara ya kimkakati ya kuongeza foreign reserve. Acheni kutuona sisi ni wapumbavu wenzenu