@ItsSlords Aiii gani hiyo? Jameni cause huduma center si kama shule mnaenda lunch nyinyi wote,each desk usually have a few people na si wote wataenda the same time.
@JohnMwendwaOGW@InvestKenya_@MITIKenya@Kldc_official I often think of growth-minded organisations the way a trellis supports a vine not doing the growing itself, but giving structure so it can happen well.
I'd love to know how does Invest Kenya build that kind of structure for young talent and emerging investors coming up today?
Mimi naye najuanga tu i will be great oneday. I always feel it in my blood. Ata si mambo na kukuwa delusional and sijui manifesting. I just know i will be great, its just that the right time bado haijafika
Make sure kila siku you move na ile mentality ya eventually you will win no matter what. Watu watakuambia ati sijui adulthood itakuhumble waambie hiyo ni yao na familia zao hizi sides we must win. Nothing in this world should even shake your belief that you will someday soon
At oncology department Nyeri. This mask is the only type advisable for one to be safe when doing extemporaneous preparation of oncology medicines. Hii niliivaa for 3 days juu hii ingine ya 10 bob is not safe. Tuko katika Hali ya hatari sana.