Hivi ulishawahi kuwaza Ukifa leo itakuaje? Your kids watabaki salama? Their social welfare? What about your Mom &Dad?, your wife or husband?
Kiburi cha uhai kisitufanye tusahau ukuu wa Mungu.
Uhai, afya, utajiri vyote ni vyake, anaweza kuchukua muda wowote.
Stay Humble and True.