Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewakamata Obadia Kwitega (35) Mkazi wa Kigamboni na Issa Mwamba (28) Mkazi wa Tabata Segerea kwa tuhuma za kumiliki televisheni ya mtandaoni ya kwenye Youtube iliyotambulika kwa jina la Jamii Digital na akaunti ya mtandao wa X (zamani Twitter) iitwayo SUKUNUNU 01, waliyokuwa wanaitumia kusambaza taarifa za uongo na za uchochezi kuhusu Viongozi Wakuu wa Serikali.
Baadhi ya taarifa zao zilisomeka “MKAKATI WA SIRI JANUARY MAKAMBA KUMNG’OA RAIS SAMIA 2025”
Akitoa taarifa hiyo leo March 14,2024, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema “Kutokana na vitendo hivi vya kihalifu kwa njia ya mtandao, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa rai kwa Wananchi kuwa makini na matumizi ya mitandao na Jeshi la Polisi linaendelea kuwachukulia hatua kali Watu wengine wanaokiuka sheria, kanuni na taratibu za matumizi sahihi ya mitandao”
“Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawahimiza Wananchi kuendelea kutoa taarifa za uhalifu mtandaoni, kwenye kituo cha Polisi kilicho karibu ili hatua stahiki zichukuliwe haraka”
#MillardAyoUPDATES
Ndugu @rollymsouth sasa umefurahi? Roho yako imeridhika? Lakini nikuhakikishie tu, bwana mdogo huyu, Issa Mwamba (anajiita Sukununu) atakuwa uraiani na ataendelea na shughuli zake. Tutampa msaada wa kisheria. Ipo siku moja, utayatimba na tutakuwa hapa kukumbusha. Haupo salama.
What does it mean to build a relationship with God?
Pray for hours a day? Wait for a spiritual experience? No, it’s way simpler than that.
Discover the 4 simple steps to know God personally today…
https://t.co/bcgD8BU8yg
Bashite katoa mzigo mtandaoni ama namna gani? Kuna harufu nzito ya influenza wanasukuma mzigo wa Bashite kimkakati sana timeline. Mwenezi this, Mwenezi that… gente estupida.