He was a leader, He was humble, He was 😭😭😭😭.
Like ❤ wish him Rest in peace!
RT. 🔃. for hope his in better place!
Dkt. Augustine Mahinga ni Rafiki wa Dunia! ❤😢
🔓Taa ya kijani imeweka (2020) jaribu kitu sasa either biashara/ kitu chochote ambacho kipo kwenye interest yako kifanye katika mpangilio mzuri just slowly it will takes you 2 years from now to become successfully and start paying your own bills on things you like in this world.
🔸#2020 wacha kuzungumzia watu vibaya, wacha kuwafuatilia watu, wacha kulaumu watu, yape mambo yako muda wa kutosha, lazima utafanikiwa.
🎯Maneno mabaya ni chachu ya kufanya vizuri, tumia nafasi vizuri msemwaji, wakumbushe kukaa kimya kwa matokeo mazuri
Baba Asante @jmkikwete
🎯STOP vs START
1)Watching TV vs Reading Book
2)Blaming others vs Accept Responsibilities
3)Get paid for time vs Get paid for result
4)Saving money vs Investing money
5)lottery mentality vs Action Mentality
7)Illusion of having knowledge vs seeking knowledge
Rt please.
Maisha ni mafupi sana, kuendelea kuwakumbatia watu wasio na maana kwenye maisha yako ni mzigo jitahidi kutua mwaka huu #2020.
1)No business idea sharing
2)You can't buy my service
3)You can't advice my business
loosing you, it's okay friend , new year, new goalz.
Mwaka #2020 asikuambie mtu kitu hakiwezekani, Afrika hatuna kitu kama haiwezekani, vyote kwetu vinawezekana. Kimbilia ndoto zako fikia alafu ziishi kwa furaha.
#beattheodds
Thanks mom for wise word @ahunnaeziakonwa
Ni masaa tu kufikia #2020, @NancySumari anakuambia ya kale (-2019) yamepita wekeza nguvu zako kwa habari ya #2020 maana hakuna anayejua kesho zaidi ya bidii yako.
Nafikiri sauti iko Sawa.
#beattheodds
Thanks for nice tweet @NancySumari Happy new year madam.
#2020, kumbuka ukuwaji ni kitu cha kawaida ila kupevuka kiakili kunahitaji kazi na sala, akili ikipevuka Amani ya moyo huwa kubwa, mafanikio huanza kuonekana kwa sababu, maneno ya walimwengu huwa sisimizi alafu wewe unakuwa tembo.
Thanks kaka mkubwa for wise word @JMakamba
Vipindi vigumu katika safari ya kutafuta kesho yangu vipo, lakini motivational speeches na books vimenisaidia sana kutambua sipo mwenyewe, kunatumaini jipya kila siku, kushindwa au kuweza ni hatua pia.
Follow @BeattheOdds14 nitakuwa nikishare motivation nazopata around,thanks.