Sijajua ni kigezo cha Kujua kusoma na Kuandika au Bunge Hili limefanya Ubunge uonekane Mwepesi au ni mwamko miongoni mwa Vijana.
Lakini ukiwatazama watangaza nia hadi sasa wanaotamani kuwa wabunge unaona kuna Tatizo Sehemu!
#NaendeleaKujifunza
Kuna Muda ukisoma Biblia unatamani ungekuwepo enzi hizo ushuhudie sasa unaambiwa Ayubu alibarikiwa watoto wa kike wazuri kwenye ile nchi hawakuwahi kutokea before. Kumbe Pisi Kali zimeanza kuumbwa kitambo Sana!
#NaendeleaKujifunza
Senior Bachela baada ya kuloweka nguo tangu Jana ndo zinafuliwa muda huu sasa.. Halafu kwanza zimejifua na sabuni ya unga tayari nakasuuze tu na kuanika chap! 😂
#NaendeleaKujifunza
"Mimi ni Chadema, sina tabia ya kususa, Chama changu kimesema hakishiriki Uchaguzi mpaka mabadiliko yatakapofanyika. Bunge litakapovunjwa, nitatoa msimamo wangu kama nagombea au sigombei" Halima Mdee via BBC.
#NaendeleaKujifunza
Taifa la Mungu Tumsifu Yesu Kristu
Ndugu Zangu Tujikite kwenye kujadili mambo ya Msingi ya kuisaidia Nchi Yetu na Maisha haya mambo ya Mpira tena wa Ulaya yanaturudisha nyuma kumbukeni Tunaelekea Kwenye Uchaguzi Mkuu.
#NaendeleaKujifunza
Kwanini hizi taarifa za Makanusho zinazotaarifu kuhusu Udukuzi wa baadhi ya Akaunti, hauelezi kuhusu taarifa za uzushi zilizochapishwa zilikuwa zinahusu nini?
#NaendeleaKujifunza
Main FM Cup inaendelea leo, Kigoma Nzima ina Furaha inasubiri hii Mechi kwa Hamu Kubwa mno!!!
Tukutane Kawawa Stadium Ujiji Kigoma.
#Mainfmcup2025#NaendeleaKujifunza