Pisi kali zinajua nguo za kutokea, yani ukiita lazima ivae kigauni flani chamitego. Sasa kunazile pisi zinajionaga ni kali kumbe za kawaida ukiita inavaa jeans kama fundi gereji. #Bedui#Bongoravers
Hadi sasa tumechangisha 346,000 bado 254,000 kwaajili ya matibabu ya Joseph Gabriel ambae anatarajia kufanyiwa upasuaji jumanne
Wana TL naomba tuungane ili kuutibu moyo uliokata tamaa
Changia kwa namba
0672358189-Brian Mlingi
0744253750-Evalyne Amas
@MarekaMalili@mkandamizaji
Yote ni maisha tu. Kuna michongo kibao saivi kwa watu wenye followers wengi. Usidharau kwakua umeshafanikiwa. Unakumbuka wewe ulikua unavaa magauni hadharani. Huo sindio ulikua umama kabisa. Mchungaji jiheshimu.
#mabedui hatupendi ujinga