Ukitaka kuifahamu tabia ya mtu vizuri, basi apate kile kitu ambacho kinaweza kuchukua majukumu yako kwake vizuri, au zaidi hata ya kwako, kama ulikuwa unaona rangi nyeupe basi nyekundu itabaki wazi pia.
Maisha haya bhana eti mwanaume mmoja kiasili anaweza kuchunga ng'ombe wanne mpaka watano kwa kutumia fimbo moja. Lakini asichokijua ni kwamba ng'ombe mmoja anaweza kulisha karibu kijiji kizima. Men be careful katika maamuzi ambayo ni ya kuamua hatma yako ya kesho.
Kuna mda wakati unakuhitaji ukae kimya na kuwapa nafasi waone kama hufai kwao, hapo ndipo thamani yako itajulikana kwani hata chumvi huwa haipo kabisa kwenye menyu ya chakula lakini ikikosekana itahitajika. Kuwa kama chumvi. Uhitaji kutambulika sana ila unaonekana kwenye uhitaji.
Watu siku zote hawasimami kutetea pale penye haki, ila wapo siku zote kumtetea yule wanayempenda. Kuwa na tahadhari kwa kila unachofanya maana matokeo yake hayaji kama unavyotarajia.
Mengi tunaweza fanya kwa uficho na wenzetu wasijue, tukaona kuwa tuko Salama mbele ya macho ya watu, lakini kumbe tusichojua nikwamba, mioyoni mwetu yatabaki Majuto, ambayo utawaza kwanini nilifanya hivyo, tukumbuke tu kujali sana nafsi zetu kuliko macho ya watu.
Aliyepita bila ya kutusalimia alirudi kutuuliza NJIA baada ya kupotea, ukiniambia nikufundishe kitu katika maisha nitakujibu kuwa, watu wanakila kitu unachotaka wewe, ila watakusaidia pale tu utakapoacha kujikwezaโ๏ธ
Tukumbuke kuwafundisha watoto wetu wa kiume kufanya kazi ndani, Ili kesho waje kuoa mke na sio mtumwa, tuwafundishe watoto wetu wa kike namna ya kutafuta pesa na Umuhimu wa kuzitunza Ili aje kutafuta mume na sio mhasibu. Tuwafundishe watoto wetu yale yote ambayo hatukufundishwa.
One tree can produce a million matchsticks, then one matchstick can burn a million tree. What does this meant " if you will allow one negative thought to sit on your mind, then it will ruin all positive thoughts.โ๏ธ
Maisha ni kitabu chenye kurasa, zenye mafunzo mengi, kwani sura nzuri itazeeka, mwili mzuri utabadilika na moyo mzuri utaishi milele, kuna muda mwingine kukimbia mawazo kwa kulala, yanaweza kujigeuza ndoto na furaha ya watu wanaofurahia mavuno yao, isitufanye tukala mbegu zetu.
Let us always remember this in our life daily basis "prayer and fasting without action is just superstition moreover the things that require technology can not go with theology" if the things can't go in the way you wish definitely don't blame others just blame yourself first๐