@DizoFx@Thereal_taivina nishakwambia mimi SIBETI ila wewe ni fala kumkandia @Thereal_taivina hawezi kuwa na 10m kisa umeona amerekodi kwenye chumba chenye feni na mapazia...mafanikio hayapimwi hivyo mdogo wangu chunga sana na uulinde mgongo wako una safari ndefu ya kuumaliza umaskini wa kwenu...focus
@DizoFx onesha hiyo CIP yako moja sasa kelele za nini๐๐๐๐ eti uwekezaji wakipumbavu sasa wewe na huo mkundu wako umemzidi nini dangote kwenye kuwekeza kwenye hii sekta?? mnawawaza madogo wanao beti akati nyie wenyewe mafala tuh akili kama hizi zako ndo mko nazo wengi mnaofanya fx...
@DizoFx kaendelee kufundisha wanafunzi bwana mdogo kifupi maisha huna akili huna facts huna HELA PIA HUNA.. endelea kusubiri mshahara mwisho wa mwezi, wajukuu zangu wanasubiri uzao wako wawaajiri
@DizoFx brad jacod,deniss washington,maria angelicoussis watu wananunua mpaka meli wasizojua kama zitamezwa na maji au la wakifanya logistics halafu unabeza mimi wa nchi kavu๐ kwamba baba ako amekuachia urithi kuwazidi kina shabiby,bakhressa,abood,tilisho???
@DizoFx gari zenu zipi hizo za miaka 20 nyuma mnazoziendesha miaka hii๐๐?? jumlisha na mali zako zote na wajinga wenzio mimi naweka scania zangu 12 tuh kati ya nyingi nilizonazo halafu tupige hesabu