The Arab Invasion of Egypt 🇪🇬 (639 – 642 AD)
After centuries under the mighty Pharaohs, Persians, and Romans, Egypt faced a new turning point in the 7th century — the Arab invasion led by Amr ibn al-As.
In 639 AD, Arab forces entered Egypt, taking advantage of the weakened Byzantine rule. By 642 AD, Alexandria, the jewel of the Nile, had fallen.
This invasion did not only change rulers — it transformed Egypt’s language, religion, and culture.
The once-dominant Coptic language gradually gave way to Arabic.
Utaifa wa mtu unatokana na baba ake.Hivyo alikuwa Mwarabu.
Hesabu 1:18
nao waliukutanisha mkutano mzima, siku ya kwanza ya mwezi wa pili, nao wakaonyesha ukoo wa vizazi vyao kwa kuandama jamaa zao, kwa nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, tangu umri wa miaka ishirini na zaidi, kichwa kwa kichwa.
Tupo hapa kwa sababu ya kutitii sheria za MUNGU!
Hosea 4:6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa "umeisahau sheria ya Mungu wako" , mimi nami nitawasahau watoto wako.
Utaifa wa mtu unatokana na baba ake.
Hesabu 1:18
nao waliukutanisha mkutano mzima, siku ya kwanza ya mwezi wa pili, nao wakaonyesha ukoo wa vizazi vyao kwa kuandama jamaa zao, kwa nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, tangu umri wa miaka ishirini na zaidi, kichwa kwa kichwa.
@ze_mandevu One think is common on them! All of them are still receiving their salaries (about 80% of it) and going to enjoy all associated benefits til their last breath!
We remember the slavely criminality. We still remember up to date as it is still goin on in different version!. To us it wasnt a trade, it was a crime. And it is our fault. We disobeyed and we still disobeying voice of our Lord GOD. The remembrace calls for Repentance!
@OurFavOnlineDoc “I returned, and saw under the sun, that the race is not to the swift, nor the battle to the strong, neither yet bread to the wise, nor yet riches to men of understanding, nor yet favor to men of skill; but time and chance happeneth to them all.”
Ecclesiastes 9:11 KJVAAE
What an awful, and terribly predictable, tragedy.
The original charge against Jason Arday was that he had plagiarised another academic’s work in his PhD. He denied it, Liverpool John Moores University investigated, and it upheld the award of the doctorate. That should have been the end of it.
But the witch hunt simply moved on: to his charity fundraising, to his long-distance running, to details of his early life, none of which had anything to do with his academic career.
Whatever Jason Arday did or didn’t do, which other professor has been subjected to this level of forensic public investigation? Academia is not exactly short of embellished CVs and creative grant applications. But as far as this country’s institutions and media are concerned, the rules are different if you’re black.
This is the reality of liberal white supremacy. A young black professor gets appointed, and Cambridge congratulates itself for being wonderfully progressive (of course not acknowledging this as the result of decades of mass anti-racist struggle). But it’s only a loan and can be taken away at any time, on the basis of an overtly racist press campaign designed to undermine the legitimacy of all non-white intellectuals and send a message to all young black people: you are not as good as us, and you’re only here under sufferance.
Racism killed Jason Arday. As capitalism moves deeper and deeper into long-term crisis and as living conditions continue to deteriorate, white supremacism will play an increasingly important role for the ruling class, dividing the oppressed and isolating those communities that are least invested in imperialism. This is the trajectory – unless we do something about it.
@MariaSTsehai Kiongozi wetu YESU KRISTO alishatuonya juu ya haya mambo ya kumuamini mwanadamu kuwa mkombozi wetu. Mkombozi wetu atabaki kuwa KRISTO.Mpaka pale tutakapoamka, na kutubu dhambi zetu na kuanza kumfuta yeye kwa kuanza kuishi kwa sheria zake na imani kwake.
Yeremia 17:5
@MariaSTsehai Pole sana Maria. Msaada wetu ni kutoka kwa MUNGU tu!.
Yeremia 17:5
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
@fabulous4X_@godbless_lema Sahihi. Ukishakubali kufundishwa "Akili" na MUNGU maana yake umekubali kuwa "akili zako" hazifai na upo tayari kufundishwa akili zake "good judgement".
@godbless_lema HEKIMA YA KWELI NI KRISTO (ambaye ni neno lake ,Yohana 1:1 )
1 Wakorintho 1:24
bali kwao waitwao, Wayahudi kwa Wayunani, ni Kristo, nguvu ya Mungu, na hekima ya Mungu.
Mithali 1:5
mwenye hekima asikie na kuongezewa elimu, na mwenye ufahamu ayafikie mashauri yenye njia.
HESHIMA YETU NI AMRI ZA MINGU (NI MTAJI UNAO ONEKANA MBELE YA MATAIFA MENGINE.
Kumbukumbu la Torati 4:6
Zishikeni basi, mkazitende, maana hii ndiyo hekima yenu na akili zenu, machoni pa mataifa watakaozisikia amri hizi zote, nao watasema, Hakika taifa hili kubwa ni watu wenye hekima na akili.
@godbless_lema Na hapa Mh Lema si kweli unachosema wala Mh Mkumbo.
Ukweli ni huu HATARI IPO HAPA👇🏾
HOSEA 4:6
kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.