2021 nilijaribu kuDomesticate a Drunk woman then anytime her peer friends would call her waende form alikua anawacha kila kitu ata kama ugali ilikua halfway na ananiwachia nipike. One time i got fed up na i was ready kumwambia.Nikitoka job sugunanga ya Mjengo nikafika wako kwa nyumba na mzinga ya General meakins nikajaribu kuwafukuza watoke kwangu wakanivamia buana na Tools zangu nlikua nayo kwa mgongo.Kwanza bibi aliniwekelea kabiro kwa macho juu.Ukioa bibi mlevi shauri yako.
Day 26 of posting H.E Edwin sifuna till he accepts my request to hold a Linda mwananchi rally in both BOMET and KERICHO counties.
@edwinsifuna@LindaMwananchi_
Habari ndiyo hiyo. Say no to every wheelbarrow. There are only 4 horses in Kenya.
1. Wiper Patriotic Front
2. Linda Mwananchi
3. Jubilee
4. DCP
Join one of them. Every other outfit is a snake.