Maji💦 -> Kwa Ajili ya Figo!
Mayai 🥚-> Kwa Ajili ya Ubongo 🧠!
Carrots🥕 -> Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi 🍍-> Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage 🥬 -> Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango 🥒 -> Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi -> Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya 🥑 -> Kwa Ajili ya Afya ya Moyo 🫀!
Mazoezi exercise🏋️ -> Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili!
Mboga za Majani 🥦🫑 -> Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
Furaha 😆 -> Kwa Ajili ya Afya yako ya Akili!
KuRepost 🔄 -> Kwa Ajili ya Wengine!
WEEK IAISHIA, FUATA HATUA ZA KUBADILI AINA NA MITINDO YA MAISHA!
Afya ni Mali, Afya ni Mtaji.
🧵 Mfupi Sana,
1. Hakikisha unapata Glass 1-2 kila baada ya Kuamka l.
2. Fanya KEGELS kwa wanaume na Mazoezi ya Nyonga Kwa Wanawake angalau kwa dk 10-15
3. Pata Kikombe cha Maji ya Vuguvugu+Limao+Tangawizi+ Swaumu, Huuweka Mwili kuwa Active.
4. Hakikisha Kwenye Chakula chako Unaongeza Mboga za Majani, Ni Nzuri kwa Afya.
5. Usikae Sehemu Moja kwa Muda Mrefu (Hata kama ni Ofisini), Simama Jinyooshe.
6. Unapokaa, Usikae kwa Kujipinda, Nyooka, vilevile unaposimama pia.
7. Epuka Uzito Uliopitiliza kwa Kuzingatia Mlo wako na Kufanya Mazoezi.
8. Epuka Ngono Zembe, UKIMWI upo.
9. Pata Yai Moja Angalau kila siku.
10. Mshukuru Mungu kwa zawadi ya Uhai na yale Anayokutendea Kila siku.
11. Onyesha Upendo Kwa Kurepost Iwafikie Wengine.
@PresenterNoah @Mtwa_Mkwawa Ni utamaduni wetu Watanzania kusaidiana wakati wa changamoto. Lakini Serikali kupitia Wizara ya Afya imeliona hili na imeamua kuja na Bima ya afya kwa wote itayomsaidia kila mwananchi kupata matibabu bila kuingia gharama yoyote kuanzia ngazi ya Zahanati mpaka Taifa. Tuiunge mkono