Nani anahitaji mtoto mkubwa aninunue?
sisumbui kula,nalala mchana bila tatizo, naoga mwenyewe, shuleni naenda mwenyewe, kazi nafanya pia na kunisomesha ni wewe tu kama ukihitaji. bei ni maelewano...!
hii nchi ni ngumu sana unakuta mtu alikuwa anashindwa hata kupata d ya kiswahili na akapata ziro 4m4 lakini saivi anaweka status video ya maneno ya kingereza na caption yake ya kizungu mhh au hii ni ndoa cheti kwanza ama!