@MariaSTsehai Kosa ameanza na nabii tito, halafu akajiita Mungu. Mungu alitoa jumbe zake kupitia manabii. Yeye anasema ni nabii pia ni Mungu. Kilio cha damu za watanganyika zinasikika mioyoni mwao, sasa wanaropoka.
@YerickoNyerereT Karibu chamani kwenye imani ya watanganyika. Tunaendelea kuchangia chama chetu. Na kama wanaweza mbona wamezuia mikutano ya hadhara? Karibu kwenye jukwaa la siasa tushindane kwa hoja. Kuwatisha wananchi kwa majeshi ni uoga.
@royalmediatz Mrema, karibu tupambane kuikomboa tanganyika yetu. Usafi ilikuwa nao chadema ulikuwa wa kinafiki. Kati ya watu waliokuwa wanaturudisha nyuma ni wewe.
@Ndera_Wirtz Hajazomewa kwa usanii wake wa muziki, neno serikali limewakera maana kiuhalisia nchi yetu haukufanyika uchaguzi, kwa maana hiyo yeye ni waziri katika utawala haramu.
@RevocatusMagum1 Afya yangu na matokeo vinahusiana vipi, sio kula nyama choma tu, na gest naenda na dem, uliambiwa utopolo ni kipimo cha ubora wa simba?? Fuvu limekomaa, akili kizibo.
@TheRealJongwe Kuna tofauti kati ya siasa na taaluma. Hebu tuangalie, wanajeshi ambao wapo kwa taaluma zao wanapelekeshwa na mwanasiasa, tapeli wa maneno na ahadi za uwongo, tunalidharau jeshi letu kwa kuwa linadharaulishwa. Siasa si taaluma.