@IAMartin_ “Death smiles at us all, All a man can do is smile back.”
Inatuma ujumbe kwamba kifo si cha kuogopwa bali cha kukumbatiwa kama sehemu ya safari ya mtu anayeishi kwa misingi ya ukweli na haki.
TEC Wameendelea Kuwa Bold Katika Kusimamia Misingi ya Taifa Letu Ambayo Imeendelea Kuharibiwa na CCM Ambao wamejitawaza Kuwa Wakoloni Weusi.
Ahsante Sana Baraza la Maaskofu Katoliki🙏🏽